Thursday, May 21, 2009

Usajili

Timu ya Simba imetangaza rasmi kutumia Sh. Milioni 200 kwa ajili ya usajili wa msimu wa 2009 / 10. Usajili huo utajumuisha wachezaji 7 wapya. Kikosi kizima kitakuwa na jumla ya wachezaji 25. Kufuatana na uamuzi wa coach, timu itasajili kipa (1), Centre back (2), Midfielder (3) na mshambuliaji (1).
Katika hatua nyingine, wachezaji Henry Joseph na Emeh Izechukwu watauzwa Kwa timu ya FC Molde ya Norway mapea mwezi ujao.

1 comment:

  1. Jamani mimi nipo hapa Norway, Henry na huyu Mnigeria hawakuweza kufuzu majaribio yao. Kwa hiyo nadhani haya ya kuuzwa inaweza kuwa njia ya kuwapeleka Azam.

    Lakini nimesoma kwenye gazeti moja huyo wakala anasema watakuwa wanaenda kwenye majaribio mengine. ukweli kuwa Henry na mwenzie hawakuweza kufuzu kabisa.

    ReplyDelete