Tuesday, May 5, 2009

Fununu za Usajili

Kuna fununu kuwa beki wa kutegemewa wa Taifa Stars na Yanga, Shadrack Nsajigwa yuko katika hatua za mwisho kabisa kuhamia Simba. Ikumbukwe kuwa misimu 2 iliyoisha, aliwahi kufungiwa miezi 6 na timu yake eti kwa kuwa alifungisha makusudi siku ya Simba.Alitaka kuhama mwaka jana lakini akaamua kumalizia mkataba wake uliokuwa umebakiza mwaka mmoja.

1 comment:

  1. Hilo Fuso kama inawezekana tulichukue liko juu sana hilo. kama simba wanataka mafanikio caf basi watu kama fuso na kaseja na nurdin bakari ni wakuchukua. lakini tatizo hatuna fedha za kuwanyang'anya yanga mchezaji kama na wao bado wanamuhitaji. wanatuzidi sana hela jamaa kwa sasa. hela za walipa kodi wa tanzania ambazo manji ameziiba na kuanza kufadhili yanga kuficha uchafu wake. nyingine zinatoka ikulu kwa yule fisadi mkuu kikwete. kwa kisu hicho yanga hatutawaweza kwenye hela labda uwanjani tu sababu hizo hela ambazo ni zetu walipa kodi hazichezi uwanjani.

    ReplyDelete