Wednesday, May 6, 2009

Simba, TFF wakwaruzana

Simba imeingia katika mzozo na TFF baada ya kuwakataza wachezaji wake wasishiriki mashindano ya mikoa (TAIFA cup). Viongozi wa Simba wanasema wamewapa wachezaji wao likizo ya mwezi mmoja kwa kuwa mwezi wa sita kutakuwa na mashindano ya Tusker, mwezi wa saba Kagame Cup na mwezi wa nane msimu wa ligi 2009 / 10 unaanza. Hivyo kama wachezaji watashiriki Taifa cup, ina maana hawatapumzika kwa mwaka mzima! TFF inalazimisha kuwa mchezaji ambae ataitwa na mkoa wowote akatae kwenda atapata adhabu kali!.
Nani yuko sahihi?mbona ukweli uko wazi?

3 comments:

  1. Hao TFF wanataka hela za wafadhili tu, hawana lolote.Hata ulaya wachezaji mpaka wanapewa tiketi waende DUbai kupumzika,itakuwa Bongo?ndio maana wachezaji wa bongo mpira unaisha bado wadogo

    ReplyDelete
  2. Hao TFF wanataka hela za wafadhili tu, hawana lolote.Hata ulaya wachezaji mpaka wanapewa tiketi waende DUbai kupumzika,itakuwa Bongo?ndio maana wachezaji wa bongo mpira unaisha bado wadogo

    ReplyDelete
  3. Hao TFF wanataka hela za wafadhili tu, hawana lolote.Hata ulaya wachezaji mpaka wanapewa tiketi waende DUbai kupumzika,itakuwa Bongo?ndio maana wachezaji wa bongo mpira unaisha bado wadogo

    ReplyDelete