Thursday, May 7, 2009

Kikosi cha kutisha cha Simba

Hii ni timu ya Simba mwanzoni mwa miaka ya 90. Ikumbukwe 1993 chini ya Kibaden ndipo Simba iliingia fainali ya Kombe la CAF na kutoka suluhu katika mechi ya Kwanza ya Final kule Abidjan!Wa pili kulia aliyesimama ni Mohamed Mwameja, mwanzilishi wa jina la Tanzania One, alilopea kutokana na umahili wake

2 comments:

  1. Huyu Dewji si ndio alihonga wachezaji wafungishe ili asitoe KIA alizoahidi?au nakosea wadau?tangu siku hiyo hafadhili mpira tena

    ReplyDelete
  2. Hii Picha sio Simba kabisa, hii ni Taifa Stars, Joseph Lazaro wa mwisho kulia waliochuchumaa aliichezea Simba lini???? Sunday Kayuni wa mwisho kulia waliosimama aliifundisha Simba lini?

    ReplyDelete