
Naupongeza uongozi wa Simba kwa kutoa jezi za mwaka iliwashabiki wafurahi kuvaa jezi za timu yao na mapato ya timu kuongezeka. Lakini, hivi tumeshindwa kuweka nembo ya timu yetu na tangazo la wadhamini? Hivi ukikuta duka linauza jezi kama hizi bila ruhusa ya klabu utaweza kuwashtaki? na wadhamini hamuoni nao wanahitaji kuungwa mkono kwa kuweka tangazo lao ktk jezi hizi?
Duuh!kwahiyo unatuambia kwamba jamaa walinunua jezi dukani asubuhi na kuzileta uwanjani jioni?halau mbona zile jezi walizopewa na Vodacom hazianani na hizo?
ReplyDeleteMambo vipi huko Mbeya lakini?
ReplyDelete