Jengo la kitega uchumi la Simba lililopo pembeni mwa makao makuu. Huu ni mmoja ya mfano wa mawazo ya ubunifu ambao viongozi wanatakiwa kuwa nayo kujiepusha na klabu kuwa omba omba. Jengo hili lilijengwa kwa mkataba na mfanyabiashara mmoja kufuatia wakati wa uongozi wa Kassim DewjiTuesday, May 12, 2009
Kitega uchumi cha Simba
Jengo la kitega uchumi la Simba lililopo pembeni mwa makao makuu. Huu ni mmoja ya mfano wa mawazo ya ubunifu ambao viongozi wanatakiwa kuwa nayo kujiepusha na klabu kuwa omba omba. Jengo hili lilijengwa kwa mkataba na mfanyabiashara mmoja kufuatia wakati wa uongozi wa Kassim Dewji
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment